EUNIA SIMBAGOYE Bwana Yesu Ni Warehema Lyrics
Bwana Yesu ni warehema
Bwana Yesu ni waupendo
Bwana Yesu muweza yote
Bwana Yesu ni wahuruma (4)
Bwana Yesu kwanz’arituumba
Hakuna kitu aricho tunyima
Rakini sisi tukamtendea mabaya
Bwana yesu ni wahuruma
Bwana Yesu ni warehema
Bwana Yesu ni waupendo
Bwana Yesu muweza yote
Bwana Yesu ni wahuruma
Ndugu yangu ninakushauri
Umpe Yesu maisha yako
Ayataware akuweke huru
Maana yeye ni muweza yote
Bwana Yesu ni warehema
Bwana Yesu ni waupendo
Bwana Yesu muweza yote
Bwana Yesu ni wahuruma (2)
Yeyeyeye
Mungu wamiujiza
Hakuna kama wewe
Yesu w’urukundo
Ntawuhwanye nawe
Yesu w’Imbabazi
Ntawuhwanye nawe
Tukienda Australia
Hakuna kama wewe
Tukienda America
Hakuna kama wewe
Africa nzima
Hakuna kama wewe
Tunakwabudu wewe
Hakuna kama wewe
Tunakwinuwa wewe
Hakuna kama wewe
Hakuna kama wewe
Hakuna kama wewe
Hakuna kama wewe
Hakuna kama wewe
yeyeyeye
Hottest Lyrics with Videos
b7d356cdd452eb627ae728d7466642cf
check amazon for Bwana Yesu Ni Warehema mp3 download these lyrics are submitted by Joshua Kai Record Label(s) : 2010 Eunia Simbagoye Official lyrics by
Rate Bwana Yesu Ni Warehema by Eunia Simbagoye (current rating: 6.89)
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
Meaning to "Bwana Yesu Ni Warehema" song lyrics