Oh oh
Dunia ina mambo bana
Usishangae sana, sana
Tena sana, sana (eh ehe eh)
Hata mimi nashanga bana
(Hata mimi ( nashanga bana x2)
Ukiniona waniona na aibu sana
Wasee wangu kwa mtaa wanawika bana
Siku hizi naogopa kuomba bwana
Juu hata mifuko za wakora zaibaangwa sana
Walinipa uongo nami nikakubali nikamfuata nyuki
Nikalimwa na asali
Weka tumbo mbele wacha akili nyuma
Maiti kavalia
Walisema sikuskia, oo
Mama na baba walinighusia ewe kijana
Kuwa mwanangu jionee
Dunia ina mambo
Yao sikuyasikiza
Sasa mimi najuta
Kweli najionea
Dunia ina mambo
Hey
Chorus
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo
Nafunga bao
Niite pita dao
Ubaya ya binadamu
Ni rahisi kusahau
Changu ni chetu
Lakini Chako ni chako
Mtu wangu ah aah wacha vako
Marafiki wamekuwa manafiki bana
Najionea tena kushangaa sana
Niliacha kuwa mjinga, (nini)
Ati sasa najiringa
Ukistaajabu ya Musa ya Firauni bado
Walinambia kijana
Jihadhari na 'limwengu
Hao walimwengu si wazuri kwako kijana
Yao sikuyasikiza
Sasa mimi najuta
Kweli najionea
Dunia ina mambo
Hey
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo
Ukiwa nao leo marafiki ni wengi sana
Watakusifu -oo wewe kijana mzuri
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Ukiwa hunawo wengi wanakukimbia
Na mengi kusema wewe kijana mbaya
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo oooo wo wo wo wo wo wo
Dunia ina mambooo
Dunia ina mambo
Dunia ina mamboo
Ah aah aaah
Ah aah aaah