LETEIPA THE KING


Baki Na Mimi Lyrics

INTRO:
(Unanikomesha) Uhhhhhh
(Unanikomesha)
(Unanikomesha) Ni vampK
(Unanikomesha) 254 (Big Daddy)

VERSE 1
Ukidunga kamini
Gunia Gauni ama Dera ,Bado we ni mashini..
Sijui nikwanini, Nikikuona nahisi nginyera inakata maini..
Wanashangaa ati Niko Boring na hauendagi kwao
Wanasambaza nyori na hatukulagi kwao
Bila chapaa hatuna ngori fiti zaidi yao
Hata tukiwa na njaa tunala story finger pande yao

HOOK
Nitunze Kama mshumaa ama koroboi
Ndo nisipoe, unipende Mimi... Mhhh
Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali dooh
Wasikutoe unitende Mimi, ..

CHORUS
Wasikuvizie unikimbie mpenzi (Waridi)
Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea (Waridi)
Nivumilie, nikuhudumie, babe (Waridi)
Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeeeh
(Unanikomesha)
Nyumba magari havishindi thamani yako, (Unanikomesha)
Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (Unanikomesha)
Sukari asali havishindi utamu wako (Unanikomesha)
Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu
(Unanikomesha)
(Unanikomesha)

VERSE 2
Kuja ghetoni tupike
Ukaange nikionja Hadi kwa sufuria kaive, iyeeih
Kisha stima tuzime
Tukule mziki kwa nguvu mpaka majirani wakujee, iyeeeh
Ulivyojaah
Nika unakulaga ijumaa
Ukinishika moyo unashikwa na kaswende nazubaa
Unanifaa, yaani mi ndo Giza we ndo taa
Ninavyokupenda nikama nimekuzaa eeeh

HOOK
Nitunze Kama mshumaa ama koroboi
Ndo nisipoe, unipende Mimi... Mhhh
Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali dooh
Wasikutoe unitende Mimi, ..

CHORUS
Wasikuvizie unikimbie mpenzi (Waridi)
Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea (Waridi)
Nivumilie, nikuhudumie, babe (Waridi)
Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeeeh
(Unanikomesha)
Nyumba magari havishindi thamani yako, (Unanikomesha)
Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (Unanikomesha)
Sukari asali havishindi utamu wako (Unanikomesha)
Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu
(Unanikomesha)
(Unanikomesha)

Watch Leteipa The King Baki Na Mimi video
Hottest Lyrics with Videos
c832b383b44e2def26a0afe2a5867821

check amazon for Baki Na Mimi mp3 download
these lyrics are submitted by kunta kinte
Record Label(s): 2022 Leteipa Kelvin Music
Official lyrics by

Rate Baki Na Mimi by Leteipa The King (current rating: 7.33)
12345678910
Meaning to "Baki Na Mimi" song lyrics
captcha
Characters count : / 50
Latest Posts