Verse 1
Umeketi, kwa corner, Ukifikiria,
Vile maisha, ya mapenzi, yamekukalia,
Any shoe that, you admire, inawa ndogo kwako
dear,
Mpaka sasa, umeamua, peku kutembea,
Umesahau kiatu chako Kipo,
Kimetengezwa tu kwa ajili yako
Hook
Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie,
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie,
Chorus
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha
kilio,
Yule mwingine wa mwisho akakuuma sikio,
They used you na sasa wanakuita kifagio,
But nipende mimi...
Nipende mimi
Verse 2
You think that, you are lonely,
Coz no one is close to you,
And even those that, are closer, they never
bother to fight for you,
Umeapa kamwe, hutawahi penda,
Juu wanaume wote, ni mafisi, mwishoni
watakutenda,
Give me a chance to prove your statement is
wrong,
Naapa kwa wote wanaoskiza this song
Hook
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha
kilio,kilio kiliiiiioo
Hook
Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie,
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie,
Chorus
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha
kilio,
Yule mwingine wa mwisho akakuuma sikio,
They used you na sasa wanakuita kifagio,
But nipende mimi...
Nipende mimi