Intro
Bibli Bam Bam Bam Bam .
Verse 1
Nilipokwona Jana, ukipita umevutia,
Nilibaki nimeduwaaa
Umbo lako mamii, Linanipa kiungulia,
Ungewa nguo ningekuvaaa
Nyuma una bonge la ndoo, mum shikamo,
Napenda kucheki ukinyonga hiyo,..
Ukitembea chwani chwani Masoo,,I need to know
Umetosheaje kwenye toja hiyo..
Hook
Sura shepu na tabia, na nutritious ka Dania,
Na ingewa sufuria Ningekuwa mwiko
Ulivyoshona jumuia, Kitoweo kwa sinia,
Ukinipa ntabugia, Kama komba mwiko
Chorus
Tenga (Wamlabez wamnyonyez, Wine Kama Sio
yako umepewa).
Tenga( Wine pande. Wine shiothee, Ka unahepa
msako umelewa).
Tenga (Usiwe na aibu, tingisha wapate kitu ya
kupost Fb)
Tenga (Sahau masaibu, Zikishika tufike gheto
nikupe KiHB)
Tenga
Tenga
Verse 2
Unavyosakata dansi
Mwili mpaka nafsi
Zinakufa ganzi,
Kama nyasinyasi
Zanigwara Hadi nafurahi, Ooh nafurahi
Urefu wangu was farasi,
Nitakupa banzi
Tamu ka nanasi
Moto Kama basi
Ndefu Kama ngazi ukidai, ooh ujidai
Uko hot ka solar,.
Strong ka mollar
Soft ka rollar ,yaani conc ka collar
Calm ka baller
Expe ka dollar
Sick is Ebola
Wanakupenda ka Ocholla..
Hook
Sura shepu na tabia, na nutritious ka Dania,
Na ingewa sufuria Ningekuwa mwiko
Ulivyoshona jumuia, Kitoweo kwa sinia,
Ukinipa ntabugia, Kama komba mwiko
Chorus
Tenga (Wamlabez wamnyonyez, Wine Kama Sio
yako umepewa).
Tenga( Wine pande. Wine shiothee, Ka unahepa
msako umelewa).
Tenga (Usiwe na aibu, tingisha wapate kitu ya
kupost Fb)
Tenga (Sahau masaibu, Zikishika tufike gheto
nikupe KiHB)
Tenga
Tenga