[Intro : Rayvanny]
Mwaga Maji Tucheze Kama Kamabale
Leo Ni Vannyboy Yupo Na Mtoto Wa Tandale
Aiiiiiii!
[Chorus : Rayvanny]
Amaboko
Eeeeeeeh Amaboko (Iiiiiiiii!!)
Amagulu
Eeeeeeh Amagulu (Kiruuuu!!)
Amabokooo!!!
Eeeeeh Amaboko
Amagulu
Eeeeeeh Amagulu
Aah Gbeseee!
Tooto Litoto To!
Tooto Litoto To!
Tooto Litoto To!
Tooto Litoto!
[Verse 1 : Rayvanny]
Watoto Wa Bibi
Wanacheza Kote Mpaka Kwenye Matope
Wanavua Wigi
Kama Wamegombana Na Ebitoke!
Fanya Kama Unadukua (Twende Sasa!)
Unanengua (Twende Sasa!)
Unapika Na Pakua (Twende Sasa!)
Aiii Chukua (Twende Sasa!)
Nasema Popooo Popo (Tunakesha Popo!)
Leta Chupa Kwa Chupa Na Moshi Tulewe (Tunakesha Popo!)
Nasema Popooo PopoOooh (Tunakesha Popo!)
Shika Pesa Tusepe
Silali Mwenyewe (Tunakesha Popo!)
Chiiiii!!
Anasasambua (Kalewa!)
Anakibinua (Kalewa Lewa!)
Anajichetua (Kalewa!)
Aiyayayayayaaa (Kalewa Lewa!)
[Chorus : Rayvanny]
Amaboko
Eeeeeeeh Amaboko (Iiiiiiiii!!)
Amagulu
Eeeeeeh Amagulu (Kiruuuu!!)
Amabokooo!!!
Eeeeeh Amaboko
Amagulu
Eeeeeeh Amagulu
Aah Gbeseee!
Tooto Litoto To!
Tooto Litoto To!
Tooto Litoto To!
Tooto Litoto!
[Verse 2 : Diamond Platnumz]
Asa Baby Show
Shooow Onyesha Alichokupa Mama
Babe Ko (Komesha Usijali Lawama)
Kana Sipidi Didi Diiiiii!
Mwendo 4g Jijiii Jiii!
Katoto Gwijigwiji Jiiii!
Kwenye Kujigijigi Jiii!
Ah! Venye Nyomi Kijiji
Manyoni Itigigiiiii
Twende Mpaka Morning Ikibidiiii
Nizame Shimoni Kimbijiii
Eeeeeeh Katoto Kana Papara (Paraaa!)
Kupigwa Nyembe Kipara (Para!)
Namvuta Kama Sigara (Raaaaa Raraaa!)
Nasema Popo Popooo (Tunakesha Popo!)
Tembeza Cha Ukucha Na Monde Tulewe (Tunakesha Popooo!)
Jamani Popoo Popo (Tunakesha Popooo!)
Kama Akigoma Vuta Usilale Mwenyewe (Tunakesha Popoooo!)
Ayaya Yayaaaa (Kimempandaa!!)
Oooh Kidaruso (Kimempandaa!!)
Kaisha Leo (Kimempandaa!!)
Namsomba Kama Fuso (Kimempandaa!)
Umo Umooo!!
[Chorus : Rayvanny]
Amaboko
Eeeeeeeh Amaboko (Iiiiiiiii!!)
Amagulu
Eeeeeeh Amagulu (Kiruuuu!!)
Amabokooo!!!
Eeeeeh Amaboko
Amagulu
Eeeeeeh Amagulu
Aah Gbeseee!
Tooto Litoto To!
Tooto Litoto To!
Tooto Litoto To!
Tooto Litoto!
[Bridge : Rayvanny]
Mwaga Maji Tucheze Kama Kamabale
Leo ni Vannyboy Yupo Na Mtoto Wa Tandale
Aiiiiiiih!!
Mwaga Maji Tucheze Kama Kamabale (Umo Umooo!!)
Leo ni Vannyboy Yupo Na Mtoto Wa Tandale
[Outro : DIamond Platnumz]
Sa Chezesha Kileso!! (Kileso!)
Kileso Kileso (Kileso!)
Zungusha Kileso (Kileso!)
Eeeh Kileso Kileso!!!
Kama Unakibana Kwa Kwapa (Kileso!)
Kilete Kwa Hapa (Kileso!)
Kama Unarusha Unadaka (Kileso!)
Mmmh Swadakta (Kileso!)