SAUTI SOL


Nerea Lyrics (feat. Amos And Josh)

Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto analeta sani yake
Mlete nitamlea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto analeta sani yake
Huenda akawa Obama, atawale America
Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda
Huenda akawa Wanyama, acheze soccer Uingereza
Huenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifa
Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu
Mungu akileta mtoto, analeta sani yake
Mlete nitamlea usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto, analeta sani yake
(nitamlea)
Huenda akawa Mathai, ailinde mazingira
Huenda akawa Mageba, nyimbo nzuri akatunga
Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania
Huenda akawa Mandela, mkombozi wa Africa
Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto analeta sani yake
Mlete nitamlea usitoe mimba yangu
mungu akileta mtoto, analeta sani yake
Nakuomba Nerea, Nerea, Nerea usitoe mimba yangu
Nerea, Nerea, Nerea usitoe mimba yangu
Huenda akawa Kagame, atawale
Jaramogi Odinga, tuungane
Huenda akawa Tom Mboya
Huenda akawa Rudisha
Huenda akawa malaika, mungu ametupatia
Huenda akawa Sauti Sol
Huenda akawa Amos and Josh
Huenda akawa maaa...
Huenda akawa malaika, mungu ametupatia
END

Watch Sauti Sol Nerea feat Amos And Josh video
Hottest Lyrics with Videos
fae67d3c8bc6cb56e5003301f08896e3

check amazon for Nerea mp3 download
these lyrics are submitted by mxm4
Songwriter(s): bien-aime baraza, delvin savara mudigi, polycarp o. otieno
Record Label(s): Sauti Sol Entertainment
Official lyrics by

Rate Nerea by Sauti Sol (current rating: 7)
12345678910
Meaning to "Nerea" song lyrics
captcha
Characters count : / 50
Latest Posts