SAUTI SOL


Still The One Lyrics

(Bien):
Another One For The Ladies, Sauti Sol,
Yeah, Yeah Baby, Touch Me Baby,

1(Bien):
Tulipokuwa Primo, Ulisema Umeninoki, Nikakuseti Kwa Odijo,
Tukaingia Seco, Adole Zikanipanda Nikaku Kiss Kwenye Bus Stop, Yeah,
Tukaingia Campo, Nikasema Nakupenda, Ukasema Unasoma,
Na Bado Na Kuona Daily, Looking Fly Nakufeel Even More,
I Wonder What I'm Gonna Do If You Ever Walk Out The Door...

Bado We Ni Yule Yule, Bado Nakufeel Baby Vile Vile, {x2}
Ukiwa Mbali Nakonda Sana, Nikikuona Nina Pagawa,
Bado We Ni Yule Yule, Bado Nakufeel Baby Vile Vile,
Love Is A Strong Thing, Strong Thing, Strong Thing,
My Love Is A Strong Thing, Strong Thing, Strong Thing,
2(Delvin):
Tukamaliza Campo, Nikaanza Kuimba, Ukapata Ka Jobo(Downtown),
Tukapatana Tao, You Were Looking Very Sexy, Tukawasha Ka Vodo, Ukawa Tipsy Kidogo,
(Ukasema Unanipenda Na Huwezi Kuniacha, Tangu Zamani Ulinipenda, Ila Hukuweza Sema)x2,

(Bien)
Bado Nakauona Daily, Looking Fly Nakufeel Even More,
I Wonder What I'm Gonna Do If You Ever Walk Out The Door,

3(Chimano):
Nikaimba Lazizi(Lazizi Wangu We),
Nikaimbia Polisi,
Na Nikaimba Soma Soma Soma, (Oh Yeah),
Na Nikasema Popote Ulipo, Mi Nakuwaza Mama,
(I'ma I'ma I'ma Gentleman)x2,

(Bien)
Na Bado Nakuona Daily, Looking Fly Na Ku Feel Even More,
I Wonder What I'm Gonna Do If You Ever Walk Out The Door,

(Delvin):
Na Sasa Uko Fifty, Bado Unaka Fiti,
Yeah You Can Gerrit,

Watch Sauti Sol Still The One video
Hottest Lyrics with Videos
d87ff49bf0cfb6900e44e03de12d37c9

check amazon for Still The One mp3 download
these lyrics are submitted by mxm4
Songwriter(s): sauti sol
Record Label(s): Sauti Sol Entertainment
Official lyrics by

Rate Still The One by Sauti Sol (current rating: 8)
12345678910
Meaning to "Still The One" song lyrics
captcha
Characters count : / 50
Latest Posts