Nimekuchagua wewe, nikupende
Mama, sitaki mwingine
Aushi usiniache, usinitende
Mama, usipende mwingine
Moyo wangu ni mwepesi
Umenikalia chapati
Nafanya vituko kama chizi
Kukupenda sitasizi
Moyo wangu ni mwepesi
Umenikalia chapati
Nafanya vituko kama chizi,
Kukupenda sitasizi
Sura yako mzuri mama, aaah
Mzuri mama …
Na tabasamu lako maua, aaah
Mzuri mama …
Sura yako Mzuri mama,aaah
mzuri mama..
na tabasamu lako laua,aah
Mzuri mama
Itabidi nikulinde, nikutunze
Mama, usikose lolot
Pete nayo nikuvishe, nikuoe
Mama, usiende popote
Juu moyo wangu ushakubali
Umenikalia chapati
Nitakulinda kama polisi, Eh!
Itabidi nikumarry
Moyo wangu ushakubali
Umenikalia chapati
Nitakulinda kama polisi, Eh!
Itabidi nikumarry
Na figure yako kama ya chupa, aaah
Mzuri Mama …
Na sura yako mzuri mama, aaah
Mzuri mama …
Piga dansi kidogo,
Piga da... piga dansi kidogo,
Dansi kidogo,
Piga da... piga dansi kidogo …