Verse:
Tuudumishe Amani iliyo Kati yetu
Let's stop violence
Let's treat the women children the right way
Tu pendane, tu ungani, tuwe kitu kimoja
Equality, harmony peace, love
It's all we need around
Lalalala love one love
Chorus:
Sisi sote ni ndugu
Sisi sote ni ndugu
The same flesh and blood
The same flesh and blood
Utu, ujithamini, uthaminiwe
Chorus
Suluwisho nimoja, tuwe kitu kimoja
Sauti moja aah
Twa ache ukabila, tu ungani Sote
Stop sexual violence
Bridge:
Thamini uthaminiwe
Thaminiwe
Thamini uthaminiwe baba we
Thamini uthaminiwe
Uthaminiwe
Mama mama weee,
Thamini uthaminiwe
Thamini
Thamini uthaminiwe mama we
Thamini u thaminiwe
U thaminiwe
Verse
Suluwisho siyo bunduki
Mapanga na mikuki
Usi tabasamu ukiwa nachuki
Don't get it twisted
Niki anguka uni inuwe
Niki dondoka uni panguze
Wala usini chukiye
Hold my hand
Keep me closer
Wala usini zinguwe
Verse:
Cherchons la paix meme dans la pluie de boulettes
Combattons contre la violence sexuelle
Protégés les femmes et les enfants
Soyons units comme les etats unit
L'union fait la force
Avec la Haine et la violence
Il n'a que la perdiction et les devisions.
Les femmes violee
Les enfants tues.
Ayons petie des femmes et des enfants.
Soyons un peuple unit par l' amour
Tenons nous la main dans la main
United we stand divided we fall
Stopons la violence
Forever peace Africa
Stopons la Violence