play youtube video
Nimefanya Nini
Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili
Nilikuita Kwa Shangwe
Nimefanya Nini video

KWAYA KUU KIKOSI CHA INJILI


Nimefanya Nini Lyrics

Nimefanya nini Bwana kunipenda hivi?
Nilikuudhi Bwana kwa maovu yangu

Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu

Nilipotea Bwana mbali nawe
Sasa umenivuta, Bwana, kwa upendo wako

Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Nakushukuru Bwana kwa upendo wako
Sasa ninaimba Bwana Haleluya

Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu

Nikifika mbinguni Yesu nitasahau yote
Yaliyonipata (mengi) hapa duniani

Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu

Watch Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili Nimefanya Nini video
Hottest Lyrics with Videos
67ad9226388b3c0733389b15f35eef97

check amazon for Nimefanya Nini mp3 download
these lyrics are submitted by itunew3
Record Label(s): 2008 Kikosi cha Injili
Official lyrics by

Rate Nimefanya Nini by Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili (current rating: N/A)
12345678910
Meaning to "Nimefanya Nini" song lyrics
captcha
Characters count : / 50
Latest Posts