Total views: 1 time this week / Rating: 8/10 [4 votes]Album: Days Before Christmas / Original Release Date: 2020-01-17Genre: Hip-Hop/RapSong Duration: 0 min 38 sec
Katika maisha, tunakutana na watu wa aina nyingi sana
Wapo watakaopenda maendeleo yako
Wapo watakaochukia maendeleo yako
Unachotakiwa kujifunza ni sio kila mtu utakayekutana nae
Ataijua thamani yako
Je, unaijua thamani yako?
Au ndo unasubiri Yesu ashuke?
check amazon for Intro mp3 download these lyrics are submitted by itunes3 Songwriter(s): Salmin Kigondo Record Label(s): 2020 Salmin Swaggz Official lyrics by