Kwanza alinifanya nibadili maisha yangu
I need somebody better now
Pili akanifanya nisisikilize ndugu zangu
I need somebody better now
Tatu akanifanya nione dili zote zangu
I need somebody better now
Nne nikitoka nae anatoka na wanangu, yeah
I need somebody better
I need somebody better
I need somebody better
I need somebody better
It's crazy what you really think
Unataka chumba chote kiwe na pinky pink
Nataka ujue what it really means
Nishaona vingapi ndani ya skinny jeans
Nilitamani nikuache nikasema sina jeans
Unatoka na wana, hawaniambii machizi
Napambana mpaka nakabwa na jinamizi
Unasema naota kina Linah, please
I really need somebody else
Ukitaka labda si tubaki mabest now
Or maybe labda unanitest now
I mean, for real vingine unafake now
Kwanza alinifanya nibadili maisha yangu
I need somebody better now
Pili akanifanya nisisikilize ndugu zangu
I need somebody better now
Tatu akanifanya nione dili zote zangu
I need somebody better now
Nne nikitoka nae anatoka na wanangu, yeah
I need somebody better
I need somebody better
I need somebody better
I need somebody better