[Intro: Salmin Swaggz]
Ladies and gentlemen, welcome to the...
[Verse 1: Salmin Swaggz]
It's a new day rapper nimeshaweka
Napita mitaa flani ya nyumbani inavyoelewa
Naona shpapi kali kwa mbali kama inacheka
Afu anavyonitazama uchokozi kama anadeka
Sidhani ka ashawai kuni sikia (bado)
Hana hata rafiki nimempitia, (bado)
Chicha limechicha, lishamchachia (bado)
Nishaahidi kumpata na mtanpigia chabo
Labda mi najikweza too much
Nikasome kiingereza niongee, Abou Kach
Ila niko kama too tempted to touch
Sema mpira nkarusha, it's time you catch
[Hook]
Ananifanya niwe
Ananifanya niwe
Ananifanya niwe
Ananifanya niwe
Na mi namfanya awe
Namfanya awe
Namfanya awe
[Verse 2: Salmin Swaggz]
Kabla hujahofia, sikia, story nnayohadithia
Mbona mtaamkia, mtoto amesharidhia
Tunaenda vacation f*ck my career
Conversation hatanibania
(Oya limeisha au)
Sina stress duniani wawili wili
Girl caught me offguard and i'm stuck with it with it
Wanok nok tuwaachie vumbi makirikiri
Wanaotalk talk ndo wana mapenzi ya siri siri
Na sio kwamba nakuhamasisha
Wasikusogelee hata kama picha
Come nikakufundishe teacher
Waambie baba mama ushabinafsishwa
[Hook]
Ananifanya niwe
Ananifanya niwe
Ananifanya niwe
Ananifanya niwe
Na mi namfanya awe
Namfanya awe
Namfanya awe