Stay on it
Ukiona nimepanda bei i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeah
Stay on it
Ila nnachotaka sema i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeeaah
Nataka kuona glass juu
Weka mission sio unafanya basi tu
Ladies wanapendelea what we do
Sema suu amma take you back to school
Wake up in the morning na nna ndoto kama saba
Hawafikii malengo sababu wamekosa shabaha
Wauni kwenye kutafuta dow wanakaba
Nani atalisha madogo, mama, dada
Najaribu kupata picha nimekaa nyuma kabisa, na hizi story zinatisha
Wengine wako ndani kwa pesa ya kutakatisha
Ila siku tutafanikisha, maboya tutawakalisha, na bado tunahamasisha
I'mma stay on it
Ukiona nimepanda bei i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeah
Stay on it
Ila nnachotaka sema i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeeaah
I stay on it kama popo yaani kinoko yani
Nacruise kwenye mkoko yani
Mashavu tushayavuta kuja local man
Ni full kijani na aliyesimama mmoko man, yeah
Tukikupita kwa jam usiulize
Tulifanya wapate nidhamu kwa huu ubize
Na sio hata lazima utuskiize
Tunapokutoa lazima tusistize
Washkaji niliowapaga nafasi
Washatoboa tuko hapa tunagonga glass
We nevеr really talk about the class
Kwa maana wasiotupenda watanuna mpaka basi
So I gotta stay on it
Stay on it
Ukiona nimеpanda bei i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeah
Stay on it
Ila nnachotaka sema i'mma stay on it
Kama mchongo hauna pay i'mma stay on it
Ntasubiri another day i'mma stay on it yeeaah